Mbingijii imekulwa na ndogi - Ochungulo Family | Download | Mp3 | Audio | Lyrics

"Mbigijii imekulwa na ndogii" is the new word on the streets termed by a kid from Meru who we Celebrate today. Her accent and voice is wonderful and she deserves recognition at her young age so that her future is reserved in Kenya's archives. Ochungulo Family makes music out of anything we think could create a big impact on our entertainment industry ata kama tutalipwa 250 na wakubwa. ile kitu tu mjue ni GENGETONE to the world na hatutachokaaaaaaa!!! mbigijii imekulwa na Ndogiiiiiiiii!!!!!!! wolan

The song is performed by Ochungulo Family ( Nellythegoon, Benzema and Dmore) Produced by Dez Kuru Recorded at odd mob music Mixed by Master Pete Schifer Mastered by ABH Sounds Visualizer by Hulk Omondi

Download


Video


Lyrics

Mbingijii imekulwa na ndogi
Mbingijii imekulwa na ndogi
Mbingijii imekulwa na ndogi
Mbingijii imekulwa na ndogi
Mbingijii imekulwa na ndogi
Mbingijii imekulwa na ndogi
Mbingijii imekulwa na ndogi
Mbingijii imekulwa na ndogi
Kakakuwa ka umbwa koko
Nikunuse tu manyoko nyoko
Walifunga duka sa alifika soko
Alipanda bei ya makokoto
Viroboto zinadai mboto
Kakachorea za paparazzi
Uji akiwekewa kanadai mandazi
Mfupa akiwekewa kanadai nanasi
Na ukikanyima kana sura ya kazi
Mbingijii imekulwa na ndogi
Mbingijii imekulwa na ndogi
Mbingijii imekulwa na ndogi
Mbingijii imekulwa na ndogi
Mbingijii imekulwa na ndogi
Mbingijii imekulwa na ndogi
Mbingijii imekulwa na ndogi
Mbingijii imekulwa na ndogi
Alejandro, hamjambo
Usiseme hii mwaka sina scandal
Kuna ngoko nadai kudismantle
Hii time ya mwezi huna tampoon
Usinyonge nyoka kama huna Valon
Mmmh baby girl pardon,
Chuma inavuma ikisukumwa
Ama laptop hutaki nikimtuma
Nawabeba beba bila kifua
2022 nawaomba kura
MCA Lang’ata ishakuwa
Alenjandro love quotes zimevuma
Newer Posts Newer Posts Older Posts Older Posts

More posts

Comments

Post a Comment