WAINAME - SAILORS | download | audio| song | mp3 | lyrics

All about the Party Scene! Sailors are back with another BANGER- Wainame for their fans and this should get us all on our feet!


Produced by: Magix Enga Shot and Directed by: Magix Enga Executive Producer: MRX Media Ltd

Download






Video

Lyrics


[Chorus: Miracle Baby]

Leo ni siku na ni day ya kutwerk (twerk)
Badala ya tu unasema tu tao
Nasifu dem mwana anayejua kutwerk (twerk)
Aki twerk boychild anambao

Rauka juu ka steam za kajeng jeng
Nikupe riba ka kamagera gefao
Paukwa eeh, pakawa aaii
Paukwa eeh, pakawa aaii

Hao madem wasimame ama wainame
Aah wee, wee wainame
Hao mangeus wasimame ama wainame
Aah wee, wee wainame

Na basi wainame (Aah wainame)
Aii basi wainame (Aah wainame)
Aii basi wainame (Aah wainame)
Si basi wainame (Aah wainame)

[Verse 1: Masilver]
Msanduko ni kimbichwa si kingale
Masilver najitambua ka odinare
Kiumbang'a makushoto maumboko
Nina kangoko nakasesa kama koko
Niaje niaje ni champe wa makali
Si unajua mi nataka tu kinare
Niwawashe hii nayo mtakubali
Cheki mbleina anawasha tu kingale
Nadai bong hii form nisha sare

[Chorus: Miracle Baby]
Leo ni siku na ni day ya kutwerk (twerk)
Badala ya tu unasema tu tao
Nasifu dem mwana anayejua kutwerk (twerk)
Aki twerk boychild anambao

Rauka juu ka steam za kajeng (jeng)
Nikupe riba ka kamagera gefao
Paukwa eeh, pakawa aaii
Paukwa eeh, pakawa aaii

Hao madem wasimame ama wainame
Aah wee, wee wainame
Hao mangeus wasimame ama wainame
Aah wee, wee wainame

Na basi wainame (Aah wainame)
Aii basi wainame (Aah wainame)
Aii basi wainame (Aah wainame)
Si basi wainame (Aah wainame)

[Verse 2: Shalkido]
Piga flash na kuna vile nitaongeza shash
Buda basi na kuna vile nasaka bash
So utacatch na kuna vile nasaka cash
Nina shaba na kuna vile nitakinda goro
Nadai paka, ona vile na ngwaa usogo
Msupa flat na thutha tuachie ong'ong'o
Nina njugu, ndula ndula kwa manyondo
Ni undugu mayengs unatema ngono
Pesa otas, sherehe usingizi wa pono
Mboko first, mroro si anataka porno

[Chorus: Miracle Baby]
Leo ni siku na ni day ya kutwerk (twerk)
Badala ya tu unasema tu tao
Nasifu dem mwana anayejua kutwerk (twerk)
Aki twerk boychild anambao

Rauka juu ka steam za kajeng (jeng)
Nikupe riba ka kamagera gefao
Paukwa eeh, pakawa aaii
Paukwa eeh, pakawa aaii

Hao madem wasimame ama wainame
Aah wee, wee wainame
Hao mangeus wasimame ama wainame
Aah wee, wee wainame

Na basi wainame (Aah wainame)
Aii basi wainame (Aah wainame)
Aii basi wainame (Aah wainame)
Si basi wainame (Aah wainame)

[Verse 3: Miracle Baby]
Skia leo vile ma, aah nimekupangia
Hadi che ukilandi utachezea gear
Mi hupenda ile feeling ukiwa umenikalia
Na ukistudy vile we huwa unatulia
Waithera wemwega, gatagati ka andu
Ngenaga we gwakwa ugithambia twindu
Gakena ukiigwa rwimbo weyohete retho
Ukainia wezere ginyaa ukaumia thande
Thande! Thande!
Eni Thande! Hau!

[Chorus: Miracle Baby]
Leo ni siku na ni day ya kutwerk (twerk)
Badala ya tu unasema tu tao
Nasifu dem mwana anayejua kutwerk (twerk)
Aki twerk boychild anambao

Rauka juu ka steam za kajeng (jeng)
Nikupe riba ka kamagera gefao
Paukwa eeh, pakawa aaii
Paukwa eeh, pakawa aaii

Hao madem wasimame ama wainame
Aah wee, wee wainame
Hao mangeus wasimame ama wainame
Aah wee, wee wainame

Na basi wainame (Aah wainame)
Aii basi wainame (Aah wainame)
Aii basi wainame (Aah wainame)
Si basi wainame (Aah wainame)
Newer Posts Newer Posts Older Posts Older Posts

More posts

Comments

Post a Comment